Naitwa Rachaa wa manyota a.k.a Tongwe boy. Mimi Ni msanii wa bongo forever nacho penda kuwambia ndugu na jamaa zangu wote pamoja wasanii wenzangu bila kusahau na wadau wote wa mziki wangu. Ni kwamba katika maisha kunachangamoto nyingi Sana na si kwenye musiki tu hapana. Ni pande panapo itwa utafutaji wa maisha kusemwa vibaya kutukanwa na Mambo mengi yanatokea. Mimi katika maisha yangu nimepambana na mengi Sana kakika maisha yangu mpaka leo limekutana na Boss wangu KAVUMBA ZIGAMBA ambae anasababisha Mimi leo kuigwa Rachaa a.k.a Tongwe boy. Neno langu la mwisho nawapenda Sana wadau mashabiki na wasanii wenzangu kubwa Ni kujituma kwa bidii lakinii tusisahau mlikotoka. Alisema hayo msanii Rachaa wamanyota. Wewe nambie unakuja kupika? Ni mimi maandishi wekundu
Posts
je wamjuaa JUFE msanii aliepewa Nafasi ya kurekodi nyimbp ya msanii Olamide itwayo mortgbhana na kuifanyia rimix
- Get link
- X
- Other Apps